Mwenye rekodi ya Simba SC kumfunga Yanga SC refa akiwa Arajiga aiweke hapa tafadhali

Ni bahati mbaya waamuzi wenu wa bahasha hawana vigezo vya juu. Mfano Tati Malogo, Japhet Smart, Kepha Kayombo, Shomary Lawi, Ahmada Simba, nk.

Hawa wote hawana CV kama Ahmed Arajiga! Isitoshe kuna wakati mliletewa waamuzi kutoka nje, bado mlifungwa. Kwa hiyo muache kudeka. Arajiga hachezi mpira.
 
Kwenye fainal ya FA Kigoma wakati Arajiga ana mtoa kwa kadi Nyekundu Mukoko Tonombe lake Tanganyika
Simba walishinda 1-0 goli la Thadeo Lwanga
 
Mechi zote 10 kachezesha arajiga?

Kipindi anachezesha mlifunga magoli mengi kiasi gani na yote yakakataliwa?
 
Mechi zote 10 kachezesha arajiga?

Kipindi anachezesha mlifunga magoli mengi kiasi gani na yote yakakataliwa?
Uelekeo wako ni defensive zaidi ya kutoa takwimu, Unadhani kwanini ulipoulizwa tu kuhusu takwimu za ushindi wa Simba anapochezesha Arajiga ubongo ukaswitch to defensive mode?
 
Uelekeo wako ni defensive zaidi ya kutoa takwimu, Unadhani kwanini ulipoulizwa tu kuhusu takwimu za ushindi wa Simba anapochezesha Arajiga ubongo ukaswitch to defensive mode?
Amka ussije kunya kitandani. Kwanini ukimbilie kuuliza swali ambalo majibu tayari unayafahamu?
 
Kigoma mnatufunga moj na nyekundu tukapigwa refa alikua bsbu yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…