Mwenye sample ya barua ya maombi ya kufunga ndoa za kiserikali

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga.
Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali.

Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!

8A20EECE-DB01-4910-B465-2734F1DC0F36.jpeg
 
mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga.
Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali.

Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
Vitu vingine msiwe mnajichosha kiasi hiki. Fika ofisi ya serikali inayojihusisha na sajili za ndoa utapata kujua kila kinachohitajika kuanzia form mpaka maelekezo mengine. Unauliza JF kwani ndio inakufungisha hiyo ndoa?
 
Hakuna Barua, Nenda Ofisi ya Kata akuandikie barua ya kukutambua wewe ni mkazi wa eneo hilo , uwe na passport mbili, nida au nida namba, barua ya mtendaji itaeleza lengo lako, utachukua barua unaenda nayo kwa mkuu wa wilaya utajaziwa fomu ya tangazo la siku 21 lenye majina na picha zetu mbili inatoonesha tarehe ya ndoa, tangazo litabandikwa kwa mtendaji na ofisi ya mkuu wa wilaya kwa siku 21. zikipita unafunga ndoa, kazi inabaki moja kuto mbana tu
 
Kumsaidia,msimpe...maana anachokitafuta hakuna rangi hatoona. Msishiriki hii dhambi
 
Vitu vingine msiwe mnajichosha kiasi hiki. Fika ofisi ya serikali inayojihusisha na sajili za ndoa utapata kujua kila kinachohitajika kuanzia form mpaka maelekezo mengine. Unauliza JF kwani ndio inakufungisha hiyo ndoa?
Uko utakutana na foleni, watumishi wana nyodo na usishangae hata kupewa hayo maelezo ukatakiwa kutoa rushwa kwanza
 
Mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga.
Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali.

Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!

View attachment 3235229
Da. Una elimu gani? Barua kama hizi hazina formula moja ya kuandika. Andika vyovyote ila tu zingatia maelezo uliyopewa. Pengine inaweza kuwa ni tatizo la elimu yetu kila kitu ni kukariri. Hii hata darasa la saba akiona haya maelezo anaandika. Kwanza hapo kasema ''barua ya utambulisho'' kutoka..... nini kigumu hapo?
 
isiyo na fomula kila mtu anaweza andika
 
Back
Top Bottom