Mwenye sample ya barua ya maombi ya kufunga ndoa za kiserikali

Mwenye sample ya barua ya maombi ya kufunga ndoa za kiserikali

Hakuna Barua, Nenda Ofisi ya Kata akuandikie barua ya kukutambua wewe ni mkazi wa eneo hilo , uwe na passport mbili, nida au nida namba, barua ya mtendaji itaeleza lengo lako, utachukua barua unaenda nayo kwa mkuu wa wilaya utajaziwa fomu ya tangazo la siku 21 lenye majina na picha zetu mbili inatoonesha tarehe ya ndoa, tangazo litabandikwa kwa mtendaji na ofisi ya mkuu wa wilaya kwa siku 21. zikipita unafunga ndoa, kazi inabaki moja kuto mbana tu
... Utajaziwa fomu ya Tangazo la siku 21, lenye majina na Picha zetu mbili 😂 ... Mkuu naona hutaki utani na wewe umeamua kujiweka

Umesema inabaki kazi gan? Miwani Sina hapa ... Hayo maandishi ya mwisho sijaona vezuriiiiiii
 
Back
Top Bottom