Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Vitu vingine msiwe mnajichosha kiasi hiki. Fika ofisi ya serikali inayojihusisha na sajili za ndoa utapata kujua kila kinachohitajika kuanzia form mpaka maelekezo mengine. Unauliza JF kwani ndio inakufungisha hiyo ndoa?mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga.
Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali.
Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
kwasababuwaliofunga hizo ndoa wapo humuVitu vingine msiwe mnajichosha kiasi hiki. Fika ofisi ya serikali inayojihusisha na sajili za ndoa utapata kujua kila kinachohitajika kuanzia form mpaka maelekezo mengine. Unauliza JF kwani ndio inakufungisha hiyo ndoa?
kumbe ni form😂😂😎Hawana barua nenda kachukue form.
ndio nnNdoa zote ni serikali
Uko utakutana na foleni, watumishi wana nyodo na usishangae hata kupewa hayo maelezo ukatakiwa kutoa rushwa kwanzaVitu vingine msiwe mnajichosha kiasi hiki. Fika ofisi ya serikali inayojihusisha na sajili za ndoa utapata kujua kila kinachohitajika kuanzia form mpaka maelekezo mengine. Unauliza JF kwani ndio inakufungisha hiyo ndoa?
Abort that missionMliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga.
Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali.
Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
View attachment 3235229
Kwamba,wewe ni mtendaji wa mtaa au kata na haujui kuandika barua ya kuwatambulisha hao wanandoa watarajiwa?Mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga.
Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali.
Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
View attachment 3235229
Mara ya mwisho nilisikia ni kwa mkuu wa wilaya/DC.Kumbe imeshakuwa mahakamani?Ndo zote za serikali zinatenguka mahakama ya mwanzo nenda hapo
Kasome cheti cha ndoa ni cha nanindio nn
Ni mahakamani. Pale usirudi teeeena. Hawavunji ndoa waoMara ya mwisho nilisikia ni kwa mkuu wa wilaya/DC.Kumbe imeshakuwa mahakamani?
Kufungisha anafanya nani kizeregale?Ni mahakamani. Pale usirudi teeeena. Hawavunji ndoa wao
Da. Una elimu gani? Barua kama hizi hazina formula moja ya kuandika. Andika vyovyote ila tu zingatia maelezo uliyopewa. Pengine inaweza kuwa ni tatizo la elimu yetu kila kitu ni kukariri. Hii hata darasa la saba akiona haya maelezo anaandika. Kwanza hapo kasema ''barua ya utambulisho'' kutoka..... nini kigumu hapo?Mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga.
Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali.
Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
View attachment 3235229
isiyo na fomula kila mtu anaweza andikaDa. Una elimu gani? Barua kama hizi hazina formula moja ya kuandika. Andika vyovyote ila tu zingatia maelezo uliyopewa. Pengine inaweza kuwa ni tatizo la elimu yetu kila kitu ni kukariri. Hii hata darasa la saba akiona haya maelezo anaandika. Kwanza hapo kasema ''barua ya utambulisho'' kutoka..... nini kigumu hapo?