Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Salamu wakuu, nina uhitaji wa movie na season kwa mwenye nazo, anaweza nisaidia au tukafanya biashara nikampatia kiasi kidogo Cha fedha.
Ninapenda movie za aina nyingi ziwe za kizungu, kihindi,kichina na hata za kituruki. 👉Ziwe za action,commedy, investigation na hata wizi.
List yangu ni hii 👉peaky blinders.
👉Prison break
👉Harry Potter
👉 Alchemy of souls
👉Queen dusan ndeok
👉Dokgo rewind
👉 Breaking bad
👉Treadstone
👉Jack Ryan
👉Jack reacher
👉Interceptor
Kwa mwenye nazo hizi na nyinginezo basi anaweza nisaidia na Mimi nitampatia kiasi Cha fedha tutakacho elewana