Mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model ya kichina naomba aniuzie

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakuu,
Nipo mbele yenu, nimeweza kutafuta vihela ili niweze kununua simu.
Baada ya kuwaza sana nimeona simu inayo nifaa ni HUAWEI P20 PRO.

Hivyyo mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model ya kichina naomba aniuzie.

Natafuta used inanitosha sana.

Kama unayo ni PM.
Mawasiliano yangu ni 0612607426
 
kwa kuhitaji simu hii wewe unajua simu..natumia hii simu..naenjoy mno.. hasa camera yake .nyoko samsung hizi A series sjui..wala redmin sjui haziikuti hii simu
 
Hembu subiri kdg,
Hii ni ile ya 2018 au nyingne?
 
Baada ya msimu wa mavuno ya mpunga nataka ili jiwe ili moyo wangu utulie😋
 

Attachments

  • 20220902_163622.jpg
    65.3 KB · Views: 15
Kuna Huawei ambazo si za wachina?
 
Kuna Huawei ambazo si za wachina?
Kuna zile Huawei zimetengenezwa kwaajili ya soko la ndani zinakua na additional features. Mfano upande wa lugha. Mimi nipo najifunza kichina, nimeshauriwa nitafute simu hiyo.
 
P30 Pro itakufaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…