Mwenye simu Tecno W5

Mwenye simu Tecno W5

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu mabibi na mabwana.

Nilikuwa nahitaji mwenye kuwa na simu mbovu aina ya Tecno W5 tuwasiliane pm, lengo langu ni kuhitaji board ya nje ya simu tu, wenye nayo aje PM.
 
Harafu hayo masimu yalikuwa machache. Labda kama ungetaka w4 ama w3 ndo maboad yamezagaa
 
Harafu hayo masimu yalikuwa machache. Labda kama ungetaka w4 ama w3 ndo maboad yamezagaa
Ok shukrani kwa ushauri wako,je urefu wa simu w4 na w5 zipo sawa shida yangu mie ni ile board yake ya nje tu
 
Back
Top Bottom