Mwenye siti ya dirishani ndani ya basi ana haki zipi?

Hujamuelewa mleta mada, yeye hakupata tabu ila waliopata tabu ni wale jinsi ulivyoelezea komenti yako
Binamu kumbe umenielewa na mm simzumziii yeye ila kwa yeyote kwenye gari ukifungua kioo anayeteseka ni wa nyuma.

Hata ukiendesha gari yako ukifungua kioo jamaa wa nyuma ndio watateseka.

Uthriku niufoo
 
Siku nyingine panda basi zenye A/C[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Anyways ukifungua kioo upepo haukupati we uliyekaa firishani ila wa nyuma yako ndio wanaumia, ha kwenye manyunyu ni hivyohivyo.
[emoji3]Basi lenye Ac wilayani unalipata wapi mkuu
 
Usikute alikua hajiskii vzr Kwa Sababu ww ulikua umemlia ganzi ila ungemwambia ww kiungwana angeelewa fresh tu
[emoji3]Alishapaniki nayeye, kwahio niliamua kukaa kimya tu,halafu makelele kina kona wale jamaa wanaongea kwa sauti kweli
 
Haki?? Labda kama siti aliyokaa iwe ni VIP, ila kama nauli tumetoa sawa, huo ujinga hawezi kufanya.
 
Nadhani pia alikosea, hasa alipogoma kuhamishwa siti,ila nahisi pia ni sababu walishamzonga sana
 
[emoji3][emoji3],hapo ndio shida inapoanzia,kipindi cha Korona nimepanda Costa fulani mpya hivi vioo vimefungwa vyote hewa nzito halafu Ac haijawashwa,nikaona nifungue dirisha,aisee wale wasukuma walimind eti baridi inaingia,nikawauliza hivi baridi na Corona kipi afadhali,ikawa nikifungua yule jamaa anafunga,ikabidi Konda afungue dirisha la mbele kabisa kule.
 
umenikumbusha matukio mawili kama hayo moja ni gar ya mbagala na tukio lingine kwenye bus ya mkoani.. 😁😁
 
Hata siti tu bado ina utata,kuna siti unaweza kuzilaza kwa nyuma,hebu laza umbane wa nyuma uone vita itakayozuka hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…