Mwenye siti ya dirishani ndani ya basi ana haki zipi?

Mwenye siti ya dirishani ndani ya basi ana haki zipi?

Hujamuelewa mleta mada, yeye hakupata tabu ila waliopata tabu ni wale jinsi ulivyoelezea komenti yako
Binamu kumbe umenielewa na mm simzumziii yeye ila kwa yeyote kwenye gari ukifungua kioo anayeteseka ni wa nyuma.

Hata ukiendesha gari yako ukifungua kioo jamaa wa nyuma ndio watateseka.

Uthriku niufoo
 
Siku nyingine panda basi zenye A/C[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Anyways ukifungua kioo upepo haukupati we uliyekaa firishani ila wa nyuma yako ndio wanaumia, ha kwenye manyunyu ni hivyohivyo.
[emoji3]Basi lenye Ac wilayani unalipata wapi mkuu
 
Usikute alikua hajiskii vzr Kwa Sababu ww ulikua umemlia ganzi ila ungemwambia ww kiungwana angeelewa fresh tu
[emoji3]Alishapaniki nayeye, kwahio niliamua kukaa kimya tu,halafu makelele kina kona wale jamaa wanaongea kwa sauti kweli
 
Haki?? Labda kama siti aliyokaa iwe ni VIP, ila kama nauli tumetoa sawa, huo ujinga hawezi kufanya.
 
Huyo dada busara atakuwa katoka Lile kabisa la wababe Tena single mama ilitakiwa arejeshewe nauli yake.
Alichofanya ni kiburi na dharau tu sababu ya malezi mabovu na Sio afya thus aligoma kuhama siti.
Ukimstudy lazima atakuwa na element za uchawi.
Huyo ni kukata Kofi moja akili ikae sawa
Nadhani pia alikosea, hasa alipogoma kuhamishwa siti,ila nahisi pia ni sababu walishamzonga sana
 
Kuna siku bwana natoka zangu dom nikadaka usafiri pale four ways zile Bus za saa nne ,nikakaa na dada mmoja product ya Meatu[emoji23]

Yule dada kila muda namwambia fungua dirisha hewa ni nzito humu, anafungua,nikilala anafunga tena,Msukuma yule alinichosha nikahama seat
[emoji3][emoji3],hapo ndio shida inapoanzia,kipindi cha Korona nimepanda Costa fulani mpya hivi vioo vimefungwa vyote hewa nzito halafu Ac haijawashwa,nikaona nifungue dirisha,aisee wale wasukuma walimind eti baridi inaingia,nikawauliza hivi baridi na Corona kipi afadhali,ikawa nikifungua yule jamaa anafunga,ikabidi Konda afungue dirisha la mbele kabisa kule.
 
umenikumbusha matukio mawili kama hayo moja ni gar ya mbagala na tukio lingine kwenye bus ya mkoani.. 😁😁
 
Ipo hivi ndugu Mtanzani.
(Msafiri kafiri) abilia aliyekata upande wa dirishani hana mamlaka na dirisha ila ana mamlaka na [emoji575] aliyokalia pamoja na kufungua kufanya anachotaka pasipo kukushirikisha wewe wa pembeni.

Ila ikitokea ukawa na matumizi ya dirisha sababu yupo eneo linalomuhusu, unaweza kumshirikisha sababu ya kero unazoweza kumpa huyo wa upande wa dirishani.

Hakupaswa kufanya huo utoto alioufanya, binafsi huwa supendi kukaa upande wa dirishani but first of all abilia anayekuja nampa sharti la dirisha.

Huyo binti hajakutana na wababe wewe, asee humo kwenye basi siku hiyo wote mlikuwa wenye wokovu mnamsubiri bwana kwa kuepuka 'z'ambi [emoji1]!.
Hata siti tu bado ina utata,kuna siti unaweza kuzilaza kwa nyuma,hebu laza umbane wa nyuma uone vita itakayozuka hapo
 
Back
Top Bottom