Mwenye siti ya dirishani ndani ya basi ana haki zipi?

Issue kama hii haipaswi kutafuta mshindi, inahitajika busara tu kuweza kumaliza mzozo.

Kitendo cha huyo dada kukaidi kuhamia siti nyingine kama alivyoelekezwa na konda wa pili ni dalili ya ukorofi,malezi mabovu na ubinafsi.
Ni kweli
 
Ni kweli kabisa,busara ilihitahika hapo
 
Na yeye kama anataka kufungua dirisha, kuna mabasi(yale yaliyochoka choka akina Champion, Jinja Boy nk) hayafungi karibia madirisha yote akapande hayo
[emoji3][emoji3]
 
Dawa ni kuweka vioo sealed kama Tahmeed.

Hakuna kununua nanasi chalinze,chungwa muheza wala hindi chemsha. Abiria anaona AC ipo on anafungua dirisha, kwenye sealed windows ukitaka uchungulie labda ukafunguliwe mlango wa kuingia
 
Kuna mazingira ya kufungua vioo lakini sio njombe, mafinga na makete ,huko hata ufunge vioo baridi inaingia tu
 
Dawa ni kuweka vioo sealed kama Tahmeed.

Hakuna kununua nanasi chalinze,chungwa muheza wala hindi chemsha. Abiria anaona AC ipo on anafungua dirisha, kwenye sealed windows ukitaka uchungulie labda ukafunguliwe mlango wa kuingia
Labda hio unaweza kusaidia kero kama hizi
 
Huyo dada ni pumbavu mmoja hivi! Tukumbuke kwamba ukifungua dirisha upepo mkali huwapuliza watu wa nyuma yako huku wewe ukirelax.

Ikiwa gari ipo speed na unahitaji hewa ya nje, basi fungua kidogo sana ikiwezekana ½ inch au inch moja ili upepo kidogo uwe kwenye siti yako tu.

Ukishindwa kuelewa hili basi kubali kupelekwa siti ya nyuma kabisa ili ujifungulie dirisha lako...

Nadiriki kusema laiti ningekuwa ndani ya hilo basi ningemtia mabanzi huyo punguani mmoja hivi asiye na akili hata za kuvukia barabara.

Pumbavu zake mbwa huyo na kama yupo humu ajue bado naendelea kumtukana kimoyomoyo
 
[emoji3][emoji3],Naona una hasira sana,ukimpiga unapata kesi mkuu
 
Yaliishaje?
Kwenye gar ya mbagala hyo siku kulikuwa na kijimvua(manyunyu) jamaa aliekaa kwenye siti ya dirishan akafunga ili asije lowa, sasa kwa jinsi tulivyokuwa tumejazana na lile joto asubuh njemba ikafungua dirisha asee noso wazichape
 
Alipaswa afanyeje sasa,kama alikuwa na shida ya kiafya?
Kama konda mwenye busara zake alimfata na kuongea naye kama ana shida ya kiafya basi amhamishie siti nyingine atakayokuwa huru kufungua dirisha na bado akakataa, huoni kuwa huyo dada ni sampuli ya watu wenye viburi?

Huyo alipaswa kukutana na jeuri mwenzie, na gemu ingeisha moja bila.
 
Kwenye gar ya mbagala hyo siku kulikuwa na kijimvua(manyunyu) jamaa aliekaa kwenye siti ya dirishan akafunga ili asije lowa, sasa kwa jinsi tulivyokuwa tumejazana na lile joto asubuh njemba ikafungua dirisha asee noso wazichape
[emoji3][emoji3],aisee
 
Ni kweli hapo alikosa busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…