Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliIssue kama hii haipaswi kutafuta mshindi, inahitajika busara tu kuweza kumaliza mzozo.
Kitendo cha huyo dada kukaidi kuhamia siti nyingine kama alivyoelekezwa na konda wa pili ni dalili ya ukorofi,malezi mabovu na ubinafsi.
Ni kweli kabisa,busara ilihitahika hapoDada ana haki zake [emoji3][emoji3][emoji3]sema angefungua kidogo tu kupunguza athari ya upepo kwa wengine..
Kuna watu tuna hizo shida kwenye mabasi aseeh tena jirani ukipiga kelele sana unaweza tapikiwa hadi basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna muda hata ac unaona haisaidii, unahitaji hewa safii ya huko njeee[emoji106]
Labda hio unaweza kusaidia kero kama hiziDawa ni kuweka vioo sealed kama Tahmeed.
Hakuna kununua nanasi chalinze,chungwa muheza wala hindi chemsha. Abiria anaona AC ipo on anafungua dirisha, kwenye sealed windows ukitaka uchungulie labda ukafunguliwe mlango wa kuingia
[emoji3][emoji3],Naona una hasira sana,ukimpiga unapata kesi mkuuHuyo dada ni pumbavu mmoja hivi! Tukumbuke kwamba ukifungua dirisha upepo mkali huwapuliza watu wa nyuma yako huku wewe ukirelax.
Ikiwa gari ipo speed na unahitaji hewa ya nje, basi fungua kidogo sana ikiwezekana ½ inch au inch moja ili upepo kidogo uwe kwenye siti yako tu.
Ukishindwa kuelewa hili basi kubali kupelekwa siti ya nyuma kabisa ili ujifungulie dirisha lako...
Nadiriki kusema laiti ningekuwa ndani ya hilo basi ningemtia mabanzi huyo punguani mmoja hivi asiye na akili hata za kuvukia barabara.
Pumbavu zake mbwa huyo na kama yupo humu ajue bado naendelea kumtukana kimoyomoyo
Kwenye gar ya mbagala hyo siku kulikuwa na kijimvua(manyunyu) jamaa aliekaa kwenye siti ya dirishan akafunga ili asije lowa, sasa kwa jinsi tulivyokuwa tumejazana na lile joto asubuh njemba ikafungua dirisha asee noso wazichapeYaliishaje?
Kama konda mwenye busara zake alimfata na kuongea naye kama ana shida ya kiafya basi amhamishie siti nyingine atakayokuwa huru kufungua dirisha na bado akakataa, huoni kuwa huyo dada ni sampuli ya watu wenye viburi?Alipaswa afanyeje sasa,kama alikuwa na shida ya kiafya?
[emoji3][emoji3],aiseeKwenye gar ya mbagala hyo siku kulikuwa na kijimvua(manyunyu) jamaa aliekaa kwenye siti ya dirishan akafunga ili asije lowa, sasa kwa jinsi tulivyokuwa tumejazana na lile joto asubuh njemba ikafungua dirisha asee noso wazichape
Ni kweli hapo alikosa busaraKama konda mwenye busara zake alimfata na kuongea naye kama ana shida ya kiafya basi amhamishie siti nyingine atakayokuwa huru kufungua dirisha na bado akakataa, huoni kuwa huyo dada ni sampuli ya watu wenye viburi?
Huyo alipaswa kukutana na jeuri mwenzie, na gemu ingeisha moja bila.