Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hawa dada zetu Kuna mda mwngn anaweza fanya kitu mpaka ww ukashangaa sana lkn kusawazisha ukatumia strategy ya kumnyamazisha mtoto mdogo anaelia[emoji3]Alishapaniki nayeye, kwahio niliamua kukaa kimya tu,halafu makelele kina kona wale jamaa wanaongea kwa sauti kweli
Vivyo hivyo pia kama huyo mpumbavu anapenda kujipimia upepo angenunua gari lake au apande lenye ACKama hawataki kioo kufunguliwa wapande basi lenye AC
Hiyo haki ina mipaka la sivyo tutakudunda!Mimi hata kama sijakaa dirishani ila jua tu nina haki na mamlaka ya kufungua dirisha
Kuna namna ingekuwa sababu ningeungwa mkono na abiria wengine[emoji3][emoji3],Naona una hasira sana,ukimpiga unapata kesi mkuu
Mimi sikujibu kwa matusi sababu nina heshimika humu alafu ninaelewa maisha yanawafanya baadhi ya watu mnakuwa na uwezo mdogo kufikiliHiyo haki ina mipaka la sivyo tutakudunda!
Ukitaka haki hiyo nunua gari lako au upande lenye AC.
Wapumbavu kama nyie siku mkibahatika kupanda usafiri wa angani mtadai madirisha yafunguliwe😏
Baridi la njombe vile halafu ufungue dirisha?[emoji3][emoji3],akaogopa kabla hata hujaongea
Kiukweli yule dada ni mbishi,maana kule nyuma yangu kuna kimamama wawili walikiwa na vichanga vidogo vya mkononiHuyo mdada angekuwa anashida na upepo angepanda bus yenye AC pumbavu zake. Maskini halafu anajifanya jeuri. Imagine ndo umemuoa sasa yupo ndani. Tukatae ndoa kwa maguvu yote kama wanawake wenyewe ndo dizaini hii.
Kama ni utani sawa... Ila tabia kama hii ni mbaya sanaMimi sikujibu kwa matusi sababu nina heshimika humu alafu ninaelewa maisha yanawafanya baadhi ya watu mnakuwa na uwezo mdogo kufikili
Kwa kifupi mimi huwa ninaandika utani humu, i am just being sarcastic, hivo siku nyingine ukiona comment yangu jua haikufai Mkuu
Nakutakia siku njema.
Basi tu.... Comments zako UncleAngesikiliza sauti yawengi