Mwenye siti ya dirishani ndani ya basi ana haki zipi?

Mwenye siti ya dirishani ndani ya basi ana haki zipi?

[emoji3]Alishapaniki nayeye, kwahio niliamua kukaa kimya tu,halafu makelele kina kona wale jamaa wanaongea kwa sauti kweli
Hawa dada zetu Kuna mda mwngn anaweza fanya kitu mpaka ww ukashangaa sana lkn kusawazisha ukatumia strategy ya kumnyamazisha mtoto mdogo anaelia
 
Huyo mdada angekuwa anashida na upepo angepanda bus yenye AC pumbavu zake. Maskini halafu anajifanya jeuri. Imagine ndo umemuoa sasa yupo ndani. Tukatae ndoa kwa maguvu yote kama wanawake wenyewe ndo dizaini hii.
 
Kabla hujakata tiketi unachagua siti labda una haraka na umekuta siti imejaa unakuwa una maamuzi, yule dada yupo sahihi ndio maana alichagua kukaa dirishani.
 
Kuna mpuuzi mmoja njombe yeye alijikoki kabisa amevaa bonge jacket halafu makusudi akafungua dirisha ,nilimkata jicho moja matata mwenyewe akafunga dirisha
[emoji3][emoji3],akaogopa kabla hata hujaongea
 
Hiyo haki ina mipaka la sivyo tutakudunda!
Ukitaka haki hiyo nunua gari lako au upande lenye AC.

Wapumbavu kama nyie siku mkibahatika kupanda usafiri wa angani mtadai madirisha yafunguliwe😏
Mimi sikujibu kwa matusi sababu nina heshimika humu alafu ninaelewa maisha yanawafanya baadhi ya watu mnakuwa na uwezo mdogo kufikili

Kwa kifupi mimi huwa ninaandika utani humu, i am just being sarcastic, hivo siku nyingine ukiona comment yangu jua haikufai Mkuu

Nakutakia siku njema.
 
Huyo mdada angekuwa anashida na upepo angepanda bus yenye AC pumbavu zake. Maskini halafu anajifanya jeuri. Imagine ndo umemuoa sasa yupo ndani. Tukatae ndoa kwa maguvu yote kama wanawake wenyewe ndo dizaini hii.
Kiukweli yule dada ni mbishi,maana kule nyuma yangu kuna kimamama wawili walikiwa na vichanga vidogo vya mkononi
 
Hiyo haki ina mipaka la sivyo tutakudunda!
Ukitaka haki hiyo nunua gari lako au upande lenye AC.

Wapumbavu kama nyie siku mkibahatika kupanda usafiri wa angani mtadai madirisha yafunguliwe[emoji57]
[emoji3][emoji3][emoji16]
 
Mimi sikujibu kwa matusi sababu nina heshimika humu alafu ninaelewa maisha yanawafanya baadhi ya watu mnakuwa na uwezo mdogo kufikili

Kwa kifupi mimi huwa ninaandika utani humu, i am just being sarcastic, hivo siku nyingine ukiona comment yangu jua haikufai Mkuu

Nakutakia siku njema.
Kama ni utani sawa... Ila tabia kama hii ni mbaya sana
 
Ukiwa karibu huwezi athirika na upepo laba wa nyuma yeko yule dada hakua na utu
 
Kuna raia wanaogopa upepo ndani ya basi utadhani huwa hawapandi bodaboda au bajaj...
 
Back
Top Bottom