Habari wana JF, tafadhari aliye na soft copy au link ya kupakua hicho kitabu anisaidie
BJ.Sahani hapo nimekupata sana mkuukaka nafikiri hivi ni vitabu viwili tofauti kaa sijakosea
Habari wana JF, tafadhari aliye na soft copy au link ya kupakua hicho kitabu anisaidie
Habari wana JF, tafadhari aliye na soft copy au link ya kupakua hicho kitabu anisaidie
Ni kitabu kizuri sana cha Ben Curson pia tafuta THE BIG PICTURE, GIFTED HANDS jaribu Google kama itakubali.