mwenye soft copy ya kitabu cha "THINK BIG" please anisaidie

BJ.Sahani

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
220
Reaction score
31
Habari wana JF, tafadhari aliye na soft copy au link ya kupakua hicho kitabu anisaidie
 
jaribu ku google "the power of positive thinking pdf" nadhan kitakufaa pia
 
Nimepata hiki cha "THE POWER OF POSITIVE THINKING"
click hapa kwenye hii link:
Redirect Notice

Mkuu mimi ninavyojua japo sina uhakika sana kitabu cha benjamin carson na cecile murpgy-think big(unleashing your pontential for excellence) na sio power of + thinking
 
kaka nafikiri hivi ni vitabu viwili tofauti kaa sijakosea
 
Habari wana JF, tafadhari aliye na soft copy au link ya kupakua hicho kitabu anisaidie

Kitabu kilivyo kitamu sidhani kama utapata soft copy humu unless kama ni hisani ya watu wa Imalamakoye, jipange tu kanunue hard copy kwa only 19,000, once ataekipata na mie nakihitaji anistue
 
Habari wana JF, tafadhari aliye na soft copy au link ya kupakua hicho kitabu anisaidie

Ni kitabu kizuri sana cha Ben Curson pia tafuta THE BIG PICTURE, GIFTED HANDS jaribu Google kama itakubali.
 
Kama ni cha benjamin carson basi bila shaka utakua umekosea title ni "A MAN WITH GIFTED HANDS",lakini sina uhakika 100%
 
Back
Top Bottom