ya mufindi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 569
- 888
Mimi nilikitafuta kwa udi na uvumba mtu alinitumia kutoka huko dar soft copy iliishia hapo tiga kampata the barstard kuscan ndo kipengere hata sijui huwa wanascann vipi labda tuwasiliane unielekeze nikusaidieNatamani nkuombe uniscanie[emoji18]
Kipo full mtandaoni aliishia hapo ila ipo hardcopyAlikuwa ni muandishi mzuri Sana!!
Natamani siku apate hamu amalizie .
Jamani nakipataje???Kipo full mtandaoni aliishia hapo ila ipo hardcopy
Unatumia nambie unatumia jina ganii nkutafte.....Mimi nilikitafuta kwa udi na uvumba mtu alinitumia kutoka huko dar soft copy iliishia hapo tiga kampata the barstard kuscan ndo kipengere hata sijui huwa wanascann vipi labda tuwasiliane unielekeze nikusaidie
Kumbe inaendelea after kumpta bastard jamnKipo full mtandaoni aliishia hapo ila ipo hardcopy
Mkuu embu tupe uhondo iliendeleajeKipo full mtandaoni aliishia hapo ila ipo hardcopy
Numekucheki inbox mkuuKuna iziii Ido na ten chapters alie nayo anisaidie [emoji18] jamn View attachment 2942547
Kwenye hard copy kiliendelea na mwisho Tigga aliolewa na John Vata, hata ukisoma kwenye MTAFITI wamo John Vata na mkewe Tigga MumbaMkuu embu tupe uhondo iliendeleaje
Ninazo nyingi zilizopo hapoKuna iziii Ido na ten chapters alie nayo anisaidie [emoji18] jamn View attachment 2942547
Hicho kitabu nilikisoma mwaka 2006Aiseh nlijua baada ya mdada kumpata the bastard Kuna mwendelezo
Mkuu ulifanikiwa kukipata?Unatumia nambie unatumia jina ganii nkutafte.....
Kuna application inaitwa cam scanner unascan tu inbatch
Shukrani sana mdauChukua chuma hicho!