Mwenye soko zuri la Maziwa kwa Dar aje hapa

Mwenye soko zuri la Maziwa kwa Dar aje hapa

theChinga

Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
32
Reaction score
40
Wasalamu.

Nipo mkoa jilani na Dar huku kuna fursa ya upatikanaji wa maziwa kwa wingi. Nahitaji mtu mwaminifu ambaye naweza fanya naye kazi walau aweze kuchukua litre 200 kwa kuanzia per day.
 
Ukipata unistue maana na mimi nahangaila sana na hi kitu we uko wapi
 
We una shamba au uko mtunkati mm nina shamba la.mifugo ukinijibu tutaenda stage ya pili tuanzishe kiwanda
 
Back
Top Bottom