theChinga Member Joined Aug 30, 2020 Posts 32 Reaction score 40 May 20, 2021 #1 Wasalamu. Nipo mkoa jilani na Dar huku kuna fursa ya upatikanaji wa maziwa kwa wingi. Nahitaji mtu mwaminifu ambaye naweza fanya naye kazi walau aweze kuchukua litre 200 kwa kuanzia per day.
Wasalamu. Nipo mkoa jilani na Dar huku kuna fursa ya upatikanaji wa maziwa kwa wingi. Nahitaji mtu mwaminifu ambaye naweza fanya naye kazi walau aweze kuchukua litre 200 kwa kuanzia per day.
Gidbang JF-Expert Member Joined Jun 1, 2014 Posts 4,482 Reaction score 3,999 May 20, 2021 #2 Ukipata unistue maana na mimi nahangaila sana na hi kitu we uko wapi
Gidbang JF-Expert Member Joined Jun 1, 2014 Posts 4,482 Reaction score 3,999 May 20, 2021 #3 We una shamba au uko mtunkati mm nina shamba la.mifugo ukinijibu tutaenda stage ya pili tuanzishe kiwanda
We una shamba au uko mtunkati mm nina shamba la.mifugo ukinijibu tutaenda stage ya pili tuanzishe kiwanda