Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
RC Arusha amedai Dreva wake alikuwa akitumia gari la RC kutapeli watu apewe pesa. Lakini hakuna Sehemu alimtaja kwa jina na wala sijawahi kusikia muhusika akifikishwa mahakamani. Waliotapeliwa nao pia wameendelea kukaa kimya maana yake walikubali kutapeliwa au na wao walikuwa Chawa wasioweza kuthibitisha vyanzo vya mapato yao.
Soma Pia: Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu
Naomba mwenye picha na majina huyu mwamba atuwekee hapa tumfahamu lakini pia isaidie vyombo vya habari kumhoji kubalance story kama ni kweli au la. Je, bado anafanya kazi serikalini? Ameacha kutapeli? Aliwezaje kuwa na carrage hii au alisoma mchezo akabaini watu wanapiga dili lakini apati mgao?