ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
pamoja mkuu ngoja tusubiri..Ebana me mwenyewe nliapply Ila naona kimya. Lkn bado hawajatoa majina kwa ajili ya usaili maana hata ukienda kwenye website Yao hakuna mrejesho. Tusubiri
Ebana me mwenyewe nliapply Ila naona kimya. Lkn bado hawajatoa majina kwa ajili ya usaili maana hata ukienda kwenye website Yao hakuna mrejesho. TusubiriWakuu kuna yeyote mwenye update zozote kuhusu intern zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) August 2020 na kusema mwishoni mwa September waliofanikiwa kupata nafasi wataanza.
Kama unafaham lolote tujuzane hapa wakuu.
Hapana Ni maneno ya watu tu, wanatoa nauli na hela ya lunch. Hyo 40 Ni uwongo mkubwanasikia intern wanawalipa elfu40 kwa siku.
Kila la kheri kwenu
yeah mkuu pale ni nauli tu na kula basi..Ebana me mwenyewe nliapply Ila naona kimya. Lkn bado hawajatoa majina kwa ajili ya usaili maana hata ukienda kwenye website Yao hakuna mrejesho. Tusubiri
Hapana Ni maneno ya watu tu, wanatoa nauli na hela ya lunch. Hyo 40 Ni uwongo mkubwa
Hii sio paid internship labda Kama zamani walikua wanalipa Ila kwa Sasa hakuna malipo Ni kupewa sapoti tu za hapa na pale. Hata kwenye tangazo lao wameandika hvyo.sio kweli
yani upewe nauli na pesa ya kula internship ya mwaka mzima?
piganieni muingie pale ili mlete ushuhuda hapa
Ok, tukipata tutaleta mrejesho.Ndio mana nikawaambia ombeni mungu mpate bahati ya kufanya internship pale ili mlete ushuhuda.
maana nitakuwa nayarudia kuyaelezea yaleyale tu
Naomba link ya kuapply km deadline badoHii sio paid internship labda Kama zamani walikua wanalipa Ila kwa Sasa hakuna malipo Ni kupewa sapoti tu za hapa na pale. Hata kwenye tangazo lao wameandika hvyo.
deadline ilishapita ndugu masiku kadhaa yamepitaNaomba link ya kuapply km deadline bado
Kaa tayari mambo yamekwiva, Muda wowote kuanzia wiki ijayo yanatoka majinaWakuu kuna yeyote mwenye update zozote kuhusu intern zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) August 2020 na kusema mwishoni mwa September waliofanikiwa kupata nafasi wataanza.
Kama unafaham lolote tujuzane hapa wakuu.
Kaa tayari mambo yamekwiva, Muda wowote kuanzia wiki ijayo yanatoka majina
Aseee, kumbe wanalipa vzur!.. naona mpaka leo hawajaridisha majina, nawaza hapa wasije wakachukua watu direct to internMwaka 2017 hadi 2018 interns walikua wanalipwa laki mbili kila ijumaa.
Kwa sasa sijajajua wanalipaje.
Duuu!! Huo si MSHAHARA kabisa, Basi wafanyakazi wanakula bataMwaka 2017 hadi 2018 interns walikua wanalipwa laki mbili kila ijumaa.
Kwa sasa sijajajua wanalipaje.
Hapana, watatoa majina soonAseee, kumbe wanalipa vzur!.. naona mpaka leo hawajaridisha majina, nawaza hapa wasije wakachukua watu direct to intern