The Specialist
Member
- Sep 16, 2019
- 92
- 48
Yah Ni kweli, majina yametoka tayar na usaili Ni tarehe 26Angalieni email zenu au tembeleeni tovuti husika ya shilika.
Inasadikika weekend hii ni interview
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah Ni kweli, majina yametoka tayar na usaili Ni tarehe 26Angalieni email zenu au tembeleeni tovuti husika ya shilika.
Inasadikika weekend hii ni interview
YahVp nawewe upo mkuu?
Usaili bado haujafanyikaWale waliofanya usaili majina hayo TbsView attachment 1577890
Wale waliofanya usaili wa TBS, majina ya waliofaulu yametoka, bend kwenye Web yaoWakuu kuna yeyote mwenye update zozote kuhusu intern zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) August 2020 na kusema mwishoni mwa September waliofanikiwa kupata nafasi wataanza.
Kama unafaham lolote tujuzane hapa wakuu.