Mwenye taarifa kuhusu internship zilizotangazwa na TBS 2020

Mwenye taarifa kuhusu internship zilizotangazwa na TBS 2020

Wakuu kuna yeyote mwenye update zozote kuhusu intern zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) August 2020 na kusema mwishoni mwa September waliofanikiwa kupata nafasi wataanza.

Kama unafaham lolote tujuzane hapa wakuu.
Wale waliofanya usaili wa TBS, majina ya waliofaulu yametoka, bend kwenye Web yao
 
Back
Top Bottom