Mwenye taarifa mpya alipo ndugu Lengai Sabaya kwa sasa atujuze

Sabaya alibaka wake za watu, alikata masikio alipora na kuua.

Mwisho wake bado haujafika ni swala la muda ila KARMA IS REAL!!!!

Mwisho wake na malipo ya matendo yake waja, na amini wakati haukawiiii
Kama ni kweli basi hafai, kama si kweli hakuna kitakachompata
 
Unataka akupe dili au uwe chawa wake.?.
Yaani unahangaika kujua alipo mtu asiye na utu na issue kama huyo wa kazi gani sasa?
Kama una njaa ya pesa sema/weka namba tufanye muamala.
 
Mbona kuna tetesi zimeanza kuzagaa tangu saa nne asubuhi kumhusu...πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…