Mwenye taarifa mpya alipo ndugu Lengai Sabaya kwa sasa atujuze

Mwenye taarifa mpya alipo ndugu Lengai Sabaya kwa sasa atujuze

General Lengai Sabaya yuko nyumbani kwao Shambasha huko Olmotonyi wilaya ya Arumeru. Naishi Shambasha na huwa anaenda kanisani kila jumamosi kwani ni muumini mzuri sana wa DINI ya S.D.A . Nyumban kwao ana ulinzi mkali tena anazidi hata baadhi ya watumish wakubwa wa serikalin. Kwa Sasa siyo mtu wa kutoka sana. Muda mwingi yuko nyumban kwao huku akisafisha na kuboresha mazingira ya nyumbn kwake. Ukitaka kumuona vizur ni muda wa yeye kwenda Ibada jumamosi. Mara ya mwisho nilimuona juzi kibarazan kwake kanenepa sana.
 
Back
Top Bottom