DOKEZO Responded Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025

DOKEZO Responded Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau wengi wanahoji ni lini hafla hiyo muhimu itafanyika kwa msimu wa 2024/2025.

1756192761172.png
 

Attachments

  • 1756190932835.png
    1756190932835.png
    674.3 KB · Views: 44
Hiyo bodi haijavunjwa na wajumbe wake kufukuzwa?

Hawana legitimacy ya kuendesha mpira wa miguu chini TANZANIA

Ni aina ya watu ambao uwezo wao wa akili uko highly questionable
 
Hivi usikute walisahau kutokana na kuendekeza kwao siasa na ubabaishaji.
 
Back
Top Bottom