Mwenye taarifa ya chanjo ya homa ya manjano

Mwenye taarifa ya chanjo ya homa ya manjano

Zemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
518
Reaction score
81
Habari wakuu,

Mwenye taarifa za upatikanaji wa chanjo ya homa ya manjano, gharama yake na siku inayotolewa ni siku gani?
 
Habari wakuu, mwenye taarifa za upatikanaji wa chanjo ya homa ya manjano, gharama yake na siku inayotolewa ni siku gani????
Mipakana na Airport tuu kwa mikoani. Dar es Salaam kuna hospitali zilitajwa
 
Habari wakuu,

Mwenye taarifa za upatikanaji wa chanjo ya homa ya manjano, gharama yake na siku inayotolewa ni siku gani?
Kwa dar unaweza kwenda hospitali ya mnazi mmoja mkuu. mikoani mipakan kote na airport
 
Kuna zoezi linaendeshwa nchi nzima kwa sasa chini ya wizara ya afya linahusu ubadilishaji wa cheti cha homa ya manjano..

Hili zoezi limeanza tarehe 1/3/2017 na linaisha tarehe 31/3/2017.

Kubadili cheti kwa raia wa tanzania ni Tsh 5000/= na kwa raia ambaye si mtanzania ni Dola 10.

Huduma hii inatolewa katika mipaka yote ya tanzania, bandari na viwanja vya ndege.

Mwambie na mwenzio.

Karibuni sana.
 
Aksante kwa taarifa, mimi sijawahi kuchoma hio chanjo na sika hata hicho kitabu cha njano, je naweza pata hio huduma hapo mnazi mmoja kila siku yeyote na ni sh ngapi kwa ujumla, niko morogoro nadio maana nataka nijue nisije kurupuka tu huku kumbe kuna siku maalum za kuchoma chanjo.
 
Back
Top Bottom