M Mzee Mwenzangu Senior Member Joined Dec 23, 2013 Posts 190 Reaction score 168 Jul 1, 2014 #1 Habari wana jamvi, Naomba mwenye taarifa ya uhamisho wa watumishi kutoka TAMISEMI kipindi hiki cha katikati ya mwaka anijuze. Natanguliza shukrani.
Habari wana jamvi, Naomba mwenye taarifa ya uhamisho wa watumishi kutoka TAMISEMI kipindi hiki cha katikati ya mwaka anijuze. Natanguliza shukrani.
N Nsumbanzunya Senior Member Joined Jun 13, 2014 Posts 177 Reaction score 42 Jul 1, 2014 #2 Mpaka leo Julai 1,ilikuwa bado
M Mzee Mwenzangu Senior Member Joined Dec 23, 2013 Posts 190 Reaction score 168 Jul 1, 2014 Thread starter #3 Aksante kwa taarifa, maana mimi nishaanza kuwa na wasiwasi kuwa labda kipindi hiki hawatashughulikia kabisa. Endelea kuleta taarifa kadli unavyozipata. Nsumbanzunya said: Mpaka leo Julai 1,ilikuwa bado Click to expand...
Aksante kwa taarifa, maana mimi nishaanza kuwa na wasiwasi kuwa labda kipindi hiki hawatashughulikia kabisa. Endelea kuleta taarifa kadli unavyozipata. Nsumbanzunya said: Mpaka leo Julai 1,ilikuwa bado Click to expand...
M MANZI Member Joined Dec 9, 2010 Posts 56 Reaction score 1 Jul 1, 2014 #4 Subiri huwa wanatoa wiki ya pili julai
Voli kitoki JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 365 Reaction score 92 Jul 1, 2014 #5 hivi wanapokea barua hadi tarehe ngapi mimi nilituma tarehe 16 . 06 Nina wasiwasi balaa