Mwenye taarifa ya uhamisho wa watumishi wa umma, June 2014

Mwenye taarifa ya uhamisho wa watumishi wa umma, June 2014

Mzee Mwenzangu

Senior Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
190
Reaction score
168
Habari wana jamvi,

Naomba mwenye taarifa ya uhamisho wa watumishi kutoka TAMISEMI kipindi hiki cha katikati ya mwaka anijuze.

Natanguliza shukrani.
 
hivi wanapokea barua hadi tarehe ngapi mimi nilituma tarehe 16 . 06 Nina wasiwasi balaa
 
Back
Top Bottom