Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine wapo wenye taarifa za uhakika za nini kinafata.
Please mwenye taarifa za uhakika tunaomba usaidie kutupa mwangaza ili tujiandae kwa wakati unaofaa na usiofaa.
Karibuni
Please mwenye taarifa za uhakika tunaomba usaidie kutupa mwangaza ili tujiandae kwa wakati unaofaa na usiofaa.
Karibuni