Ajira na uchaguzi wa wenyeviti wa mtaa hakuna uhusianoMimi nadhani labda wanasubiri uchaguzi wa serikali za mitaa upite au wanaweza kufanya mwakani kabisa ili watakao pata wakumbuke kurudisha fadhila kwenye boksi la kura 2025
Una GPA ya 3.0+??Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine wapo wenye taarifa za uhakika za nini kinafata.
Please mwenye taarifa za uhakika tunaomba usaidie kutupa mwangaza ili tujiandae kwa wakati unaofaa na usiofaa.
Karibuni
Sikujua hilo endeleeni kusubiri until further noticeAjira na uchaguzi wa wenyeviti wa mtaa hakuna uhusiano
Wenye taarifa za uhakika wamekatazwa kutumia Jamii forum. Hivyo endelea kuwa mvumilivu na utembelee website ya prsr mara kwa mara.Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine wapo wenye taarifa za uhakika za nini kinafata.
Please mwenye taarifa za uhakika tunaomba usaidie kutupa mwangaza ili tujiandae kwa wakati unaofaa na usiofaa.
Karibuni
Hilo nalo mkalitizame.Una GPA ya 3.0+??
We nae eti wamekatazwa kutumia jamii forum,mnalishana tango poriWenye taarifa za uhakika wamekatazwa kutumia Jamii forum. Hivyo endelea kuwa mvumilivu na utembelee website ya prsr mara kwa mara.
Hapana chadema msipush agenda ya ajira mitanzania aina shukrani waacheni wanyoke kwanzaWa kujitolea ndii wanasababisha kutokuwepo kwa uhitaji.
Pia suala la ajira linakuwa reserve kwa ajili ya kampeni za uchaguzi. Endapo wapinzani wakipiga msumari kuhusu ukosefu wa ajira ndio muda huo ccm wanafanya comeback ya kutangaza ajira nyingi ili kubalance mashambulizi ya wapinzani kuhusu ukosefu wa ajira Erythrocyte chadema pigeni misumari kuhusu hali ngumu ya kiuchumi na ukosefu wa ajira.
Ipo siku hili janga la ukosefu wa ajira na hali ngumu ya kiuchumi litawafanya watanzania wenyewe waamke kuitoa ccm madarakaniHapana chadema msipush agenda ya ajira mitanzania aina shukrani waacheni wanyoke kwanza