Mwenye takwimu halisi za Walalamishi naziomba kabla hawajaanza kumlaumu Dr. Ndalichako........

Mwenye takwimu halisi za Walalamishi naziomba kabla hawajaanza kumlaumu Dr. Ndalichako........

Blood Hurricane

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
1,175
Reaction score
303
Kila mara yatokapo matokeo ya kidato cha 4 na cha 6 kunatokea kundi flani wanaojiita Wanaharakati wa upande wa kushoto kazi yao kwenda kwenye vyombo vya habari na kulalamika kuwa watoto wao wameonewa kwa kuwa wao ni Waislam na kumtupia shutma nziiiiiiiiiiito mama watu na kumwambia ajiuzulu cheo cha ukurugenzi.

Kutokana na hilo naomba mwenye takwimu halisi ya ufaulu wa Waislamu kwenye matokeo haya ya kidato cha 4 ya mwaka 2012.

Nia hasa kujua wapi watakapo lalia na wanapojengea hoja zao.

Na pia tunasubiri Mabaraza ya Maulamaa yaje na hoja nyepesi ya kuwa Waislamu wameonewa kwenye kusahihishiwa mitihani yao na NECTA ya Mwaka 2012.

Pia tunasubiri pia radio ya UCHOCHEZI ya Imani ya kule Morogoro ianze kuvurumisha kashfa kwa Baraza la Mitihani Tanzania ya kuwa Waislam wameonewa.

Sitegemei matusi humu nia yangu ni kujenga manake tumekuwa tukisikia kila kukicha waislamu wanaonewa na kudhulumiwa na NECTA. Je, Mwaka huu mtalalamika tena?

Mwenye takwimu azimwage humu nina shida nazo sana.
 
Mwaka huu tunabadilsha kibao hatuendi kwa Bi Ndalichako tutauongoza maandamano pamoja na wakristu kwenda kwa waziri husika na ikibidi hadi ikulu
 
Back
Top Bottom