Mwenye takwimu za Mfuko wa Bima ya Taifa anisaidie

Mwenye takwimu za Mfuko wa Bima ya Taifa anisaidie

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kama kuna mtu ambaye anazo au anafahamu sehemu ya kupata stats za bima ya taifa.

Stats ni kama Idadi ya waliojiunga, umri wao, kiasi cha malipo waliokusanya, malipo bima iliyolipa.

Kuna mawazo ninayo kwa serikali lakini ningependa nipate kwanza hizi data ni kwa faida ya wote.

Pascal Mayalla
 
Mkuu Kamundu , dunia ya sasa ni ulimwengu wa data driven world, hata journalism sasa tuna data journalism!, no datas, no right to speak!.

Japo we have data protection act lakini kwenye the right to information act, all public entities ni lazima to disclose its data for public access mfano mabenki wanatakiwa kufanya disclosures every 90 days!.

Lakini taasisi za kibongo ni michosho sana!, sijui kwanini hawaigi mfano wa JF

FORUM STATS​

THREADS: 1,737,419
POSTS: 45,461,486
MEMBERS: 632,822

Noted
P
 
Back
Top Bottom