Mwenye tamko la maaskofu la kulaani Lissu kupigwa risasi atuwekee hapa. Nataka ni confirm kitu

Mwenye tamko la maaskofu la kulaani Lissu kupigwa risasi atuwekee hapa. Nataka ni confirm kitu

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Husika na kichwa Cha habari hapo juu chajieleza, naomba mwenye tamko atuwekee tuone Hawa maaskofu wa kikatoliki waliongea nini baada ya Lissu kupigwa risasi tuone. Maana mm sikuona tamko lolote

#AMANI NI UCHUMI TUILINDE NA KUITUNZA
 
20251115_191210.jpg

Soma: TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu
 
Aya mambo hayatawandia kwa sasa wananchi wamewakataa heti vituo vya kupigia vilikua vingi kwa hiyo msongamano haukuwepo ni utoto leta sass hivi kukimbilia kweli Udini mtawaokota wajinga
 
Kwamba unataka kuhalalisha mbaya kwa mbaya nyingine?

Kwamba kwa vile hakukemewa yule kwa ushetani alioufanya, basi huyu wa sasa nae ana uhalali wa kufanya ushetani bila kukemewa si ndio?

Kwa maana nyingine unatwambia yapaswa tuzoea maovu ya viongozi hawa wa sasa na tuyaone ni ya kawaida na hasa kama huko nyuma haikutumika nguvu kubwa kuyakemea..!?

Aise nyie watetezi wa Samuya mna uwezo mdogo sana wa kufikiri kuliko hata yeye.
 
Back
Top Bottom