Engine ya petrol fuel injection haina governor, itapima mafuta vipi?
Unasema engine uhitaji mafuta kwa wakati maalum (timing) hii haiendani na maelezo yako kuhusu spring na torque na 'force toward a centre' (centrifugal force, if I may) bali timing uhitaji marks kwa gears au njia nyingine ya synchronization.
Nina uhakika hata wewe ukisoma upuzi ulioandika utauona ukiwa hivyo tu, upuzi. Elewa hivi, governor utumika kwa injector pump za diesel za miaka ya nyuma na kazi yake SIO KUPIMA MAFUTA AU TIMING bali ni KUDHIBITI KASI YA ENGINE, hufanya hivi kwa kupunguza au kuzuia mafuta. Kabla ya kasi kuzidi kipimo, governor haina uwezo wowote wa kupunguza, kuongeza au ku-time mafuta, hadi pale ilipopimiwa kasi ndiposa mafuta yanapunguzwa kwa kuhitilafu 'control rack'.
HATARI KUBWA NI KWA WANOSOMA MAMBO HAYA YA UONGO NA KUYAAMINI, UKAENDA KUZOZANA NA FUNDI BURE!!
TAHADHARI!!