Styvo254
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 246
- 227
Mbona maelezo yako hayaendani? You sound like an amateur or at best an apprentice. Picha hazisemi kitu bro ila maelezo yako; ambayo yanadhihirisha hukuelewa chochote darasani. Pole sana!![]()
![]()
2007 hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona maelezo yako hayaendani? You sound like an amateur or at best an apprentice. Picha hazisemi kitu bro ila maelezo yako; ambayo yanadhihirisha hukuelewa chochote darasani. Pole sana!![]()
![]()
2007 hiyo
Bora mtu abishe kwa kutumia lugha nzuri na sio kwa matusi kama huyo jamaa yaani kanitusi hadi ikabidi niipitie post yangu vizuri niangalie kama kunasehem nimekosea kidogoEndeleeni hivohivo kubishana sisi ndio tunagain vitu hapa
Kweli mkuu we kuwa mpole tu atakuelewa taratiibuBora mtu abishe kwa kutumia lugha nzuri na sio kwa matusi kama huyo jamaa yaani kanitusi hadi ikabidi niipitie post yangu vizuri niangalie kama kunasehem nimekosea kidogo
Wabongo kwa style hii sidhani kama watu watakua wanakubali kushare idea
Wewe umeniita msanii as if nimeandika vitu kwa kusikia kwa watu na wakati hiyo kazi nimeifanya...governor naijua vzur sanaMbona maelezo yako hayaendani? You sound like an amateur or at best an apprentice. Picha hazisemi kitu bro ila maelezo yako; ambayo yanadhihirisha hukuelewa chochote darasani. Pole sana!
Bro,Wewe umeniita msanii as if nimeandika vitu kwa kusikia kwa watu na wakati hiyo kazi nimeifanya...governor naijua vzur sana
Labda ktu usichokielewa huu uzi wanasoma watu wengi na unapoelezea kitu ni lazima kukwepa maelezo ambayo mtu wa kawaida atasgindwa kuyaelewa mimi nimeelezea governor ili hata mtu wakawaida aelewe nini namaanisha
Tatizo lako unataka nielezee kitu ambacho unakijua wewe na hata kama ni kigumu kueleweka na mtu wakawaida
Ngoja tuishie hapo coz hata wewe umejikanyaga kwenye ejection pumpBro,
Kwanza samahani kwa kukukwaruza vibaya hapo awali; naamini ukiusoma huu uzi kwanzia mwanzo wake utanielewa/utaelewa kughadhabika kwangu.
Nakuomba ufanye utafiti kidogo kwanza kuhusu fuel system ya engine za four na two stroke kw kua hizi ni tofauti na marine engines ambazo hutumia governor unavyoeleza ila ni kwa sababu ya ukubwa wake (marine engine), ile governor hua kifaa cha kando; kwenye diesel za kawaida, hakipo nje bali ndani ya injector pump. Utagundua pia diesel system ya marine engine ni tofauti na ya engine ndogo.
Kwa engine design za marine engine - pia sababu ya ukubwa wake, haina injector pump bali ni unit pumps, moja kw kila cylinder. Ndio sababu ile sehemu, governor, ipo nje na hapo ndipo acceleration ya engine hufanyika. Engine za kisasa za diesel, kama Deutz 1013 FC, ambazo ni za umeme hutumia governor pia, yake ikiwa digital governor. Engine za CAT - ulizosema unaelewa, ndio pia hutumia mifumo hii ya unit pumps na governor ubavuni ila pale zinakua mechanically linked to throttle pedal/lever na kwa hivyo ni digital governors.
So kaka, nothing personal.
Bro,

Carburettor ni tech ya zamani, tafuta engine za kisasa nduguGari yangu ni aina ya Hilux double cabin na engine yake ni 2L petrol, kinachonitesa kila mara ni carburettor , mara naambiwa ime float, mara naambiwa uchafu. ...mafundi wananishauri nibadilishe engine, niweke ya aina hiyo hiyo ila yenye injection, wazo hili ni sahihi na engine hizo kweli zinapatikana? Naomba ushauri wako mkuu maana nimeteseka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ushauri wako naomba unitajie majina ya hizo engine za kisasaCarburettor ni tech ya zamani, tafuta engine za kisasa ndugu
Ndugu yangu "ejection" pump ninayojua mimi haiko kwa engine au meli!!Ngoja tuishie hapo coz hata wewe umejikanyaga kwenye ejection pump
Kila mtu atambe kwenye field yake
Engine karibia zote zinatumia mfumo wa 4 au 2 strock except labda zile jet engine nandio maana nime mjibu huyo jamaa coz najua engine ni ile ile tofauti ni ukubwa tu
"Tatizo lako unataka nielezee kitu ambacho unakijua wewe na hata kama ni kigumu kueleweka na mtu wakawaida"Wewe umeniita msanii as if nimeandika vitu kwa kusikia kwa watu na wakati hiyo kazi nimeifanya...governor naijua vzur sana
Labda ktu usichokielewa huu uzi wanasoma watu wengi na unapoelezea kitu ni lazima kukwepa maelezo ambayo mtu wa kawaida atasgindwa kuyaelewa mimi nimeelezea governor ili hata mtu wakawaida aelewe nini namaanisha
Tatizo lako unataka nielezee kitu ambacho unakijua wewe na hata kama ni kigumu kueleweka na mtu wakawaida
Steam engine ni external combustion engine ambayo inatumia boiler na mwisho inaangukia kwenye mfumo wa jet coz steam huenda kwenye blade na kuzizungusha but tusfike huko hapa tunaongelea internal combustion engine......kwaiyo unataka kuniambia rotary engine ni one strock engine? stroke zipo ila zinafanyika at the same time labda ndio maana unashindwa kuelewa,,. au hujui maana ya strock?Umewahi skia engine ya rotary, ya Stirling cycle je, what about ya steam na hizo ni tatu kw mingi.
"... najua engine ni ile ile tofauti ni ukubwa tu", kweli msanii! Hii ndio attitude ya mafundi wa uswahilini; ya diesel na petrol ni ile ile!?!? Hata za diesel kuna direct na indirect injection, sio ejection kaka!!!
sasa naanza kupata mashaka na elimu yako...kama engine ya meli haina enjection pump itakua inatumia kitu gan? engine ya meli ina pump nyingi (auxiliary) na pump ya mwisho katika kuchukua mafuta ni enjection pump... tofauti ni maumbo tu kwenye meli itakua umbo kubwa na huko kwenu itakua na umbo lingineNdugu yangu "ejection" pump ninayojua mimi haiko kwa engine au meli!!
Ni vyema uishia hapo wewe, naona pia lugha na uelewa ni mzigo kwako!!
Ukisema 'engine karibia zote' mbona hukufafanua waelewa za IC pekee?!?! Mambo ya lianza nilpokukosoa mambo ya fuel system, waeleza mambo ya meli kwa wenye magari isitoshe mifumo ya diesel. Ndio maana nasema hujui na huelewi lolote kuhusu engine ila yale uliozoea kuona kw meli.sasa naanza kupata mashaka na elimu yako...kama engine ya meli haina enjection pump itakua inatumia kitu gan? engine ya meli ina pump nyingi (auxiliary) na pump ya mwisho katika kuchukua mafuta ni enjection pump... tofauti ni maumbo tu kwenye meli itakua umbo kubwa na huko kwenu itakua na umbo lingine
maswala ya meli achana nayo coz huna unachokijua zaidi ya kukisia tu