Mwenye TIN No 113560746 atembelewe na TRA anakwepa kodi

Mwenye TIN No 113560746 atembelewe na TRA anakwepa kodi

anayosema changamoto2015 ni kweli kabisa, wafanyabiashara wengi kitumbini hawatoi risiti halali na hata wachache wanaotoa risiti baadhi yao hawataki kukuprintia risiti inayoreflect tin namba yako.
 
Ulitakiwa uwasiliane na TRA, walishasema ukiriport mkwepakodi unapata percent!
 
Back
Top Bottom