N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,172 Dec 24, 2015 #21 anayosema changamoto2015 ni kweli kabisa, wafanyabiashara wengi kitumbini hawatoi risiti halali na hata wachache wanaotoa risiti baadhi yao hawataki kukuprintia risiti inayoreflect tin namba yako.
anayosema changamoto2015 ni kweli kabisa, wafanyabiashara wengi kitumbini hawatoi risiti halali na hata wachache wanaotoa risiti baadhi yao hawataki kukuprintia risiti inayoreflect tin namba yako.
C chekx JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 591 Reaction score 343 Jan 7, 2016 #22 Na maduka ya vifaa vya ujenzi wameyasahau
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,714 Reaction score 2,376 Jan 8, 2016 #23 Ulitakiwa uwasiliane na TRA, walishasema ukiriport mkwepakodi unapata percent!