Mwenye toyota Ractis ya kuchinja anitafute..

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
390
Habari wana janvi na wajuzi wa magari,nina gari yangu toyota ractis iligongwa,so baadhi ya vitu vimeharibika vibaya,nimejaribu kutafuta nimepata vichache vingine nimekosa ,naitaji dashboard complete na air bags zake,stearing, na accesories ndogo ndogo, so kama unayo gari hii labda ilipata ajali na baadhi vitu hivyo ni vizima ni pm tuzungumze.
 
Kama wezi wa magari wakisoma uzi huu nataraji utapata yote uyatakayo tena fastaaaaa maana wao watatafuta ractis ya mtu wanasepa nayo then shortly unapata pm
 
Nenda Ilala au Kariakoo Gerezani utapata kila kitu kwenye yale maduka ya wauzaji wa used spares.
 
Kwa uharibifu huo wewe ndo unatakiwa kuchinja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…