Habari wana janvi na wajuzi wa magari,nina gari yangu toyota ractis iligongwa,so baadhi ya vitu vimeharibika vibaya,nimejaribu kutafuta nimepata vichache vingine nimekosa ,naitaji dashboard complete na air bags zake,stearing, na accesories ndogo ndogo, so kama unayo gari hii labda ilipata ajali na baadhi vitu hivyo ni vizima ni pm tuzungumze.