Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Wazee mambo yasiwe mengi saaasa! Mi sichekeshi
Ninhitaji tv ya nchi 15, godoro la elfu 25 ikiwezakana na Chumba cha kupanga elfu 20 cha umeme nalipa miez miwili
Napendelea sana mabwepande mpaka kunduchi, madale na sehem zingine zinazofanana na hizo ila isiwe goba tu
Kuna hela hapa haina kazi