Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
- #21
Alokwambia ndo nakuja mjini nani? Mi mwenyew born town kitambo tuMkuu kwa maisha hayo si umekuja tu kutubana huku mjini? Bora ungekaa tu kijijini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alokwambia ndo nakuja mjini nani? Mi mwenyew born town kitambo tuMkuu kwa maisha hayo si umekuja tu kutubana huku mjini? Bora ungekaa tu kijijini!
🤝🤝Used nililipata jana sema chumba hakijapatikna mpaka tarehe 30 ndo jamaa kashindwa kodi anasepa
Yani nahamia nayo nimeitia kwenye begi la nguoTv inch 15 si ni ukubwa wa kama cm tu icho kioo chake au inafananaje wakuuu? 🤣🤣🤣
Next time, unajua hizo bango za tigo sasa ni yas nlikuwa huko na vijana wenzangu. Nikakuona hapo ndaniUngenishtua bas na ww nkupe kampani😄
Ewaaaaaaaa 🤗 uko wapi mkuu nije keshoView attachment 3180465
Tv umepata
Nitakuchek pmEwaaaaaaaa 🤗 uko wapi mkuu nije kesho
Mkuu godoro la kazi gani , hakuna hata haja ya kulala kabisa😁😁😁
Aina noma mkuuNitakuchek pm
Pro ninjaMkuu godoro la kazi gani , hakuna hata haja ya kulala kabisa😁😁😁
Hilo ghetto kwa unyama huo wa screen ya 25k mke lazima awe anaangalia series za kihindi bwana weeh 😹Geto lisafishwe kwa ajili ya nn
Hilo gero sio la kuolea, ni kwa ajili ya shughuli za kininjaHilo ghetto kwa unyama huo wa screen ya 25k mke lazima awe anaangalia series za kihindi bwana weeh 😹
Kwahiyo utaishi na panya na buibui? 😹Hilo gero sio la kuolea, ni kwa ajili ya shughuli za kininja
Potelea mbali, geto hapo sihitaji sahani wala bakuli wala ufagio. Ikizidi sana sufuria moja tu jiko naazima kwa jiraniKwahiyo utaishi na panya na buibui? 😹
Njoo uishi kwanguPotelea mbali, geto hapo sihitaji sahani wala bakuli wala ufagio. Ikizidi sana sufuria moja tu jiko naazima kwa jirani
Roho mbaya tu, hebu weka na mke tuje kuomba chumvi 😹Potelea mbali, geto hapo sihitaji sahani wala bakuli wala ufagio. Ikizidi sana sufuria moja tu jiko naazima kwa jirani
Shukran sana, kwako kuna ofa gani mkuu sitaki rum ya bure. Wewe sema nikipe kias gan kwa mwezi ili niwe na uhuruNjoo uishi kwangu
Mke akae kwao tu akija hapa tunapiga shughuli moko tu, sitaki apate tabu mtoto wa mtuRoho mbaya tu, hebu weka na mke tuje kuomba chumvi 😹
Anhaa laki siwez kufika, au nitaftie nchi 12 kwa elfu 30 mambo yasiwe mengiKuna nchi 17 mpya solar max laki moja tu