FundiNgoma
Senior Member
- Dec 26, 2019
- 136
- 273
Ni kuhusu upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma unaoendelea mwaka huu,ni kazi nzuri ya serikali yetu kongole sana Rais wetu..
Swali ni je kuna watumishi walioko masomoni mpaka sasa vipi nao wanapanda?
Na kama hawapandi wakirudi kazini wakija kupanda cheo si watazidiwa muda wa cheo na wenzao walioajiriwa pamoja?
Au ufafanuzi upoje hapo kwa anae elewa......