EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Lete wewe huo muongozo
Mfano hiyo server inayovalidate token mteja anapoingiza inakuwa kwenye level ya taifa au mkoa ambapo mita fulani ipo?,mfano kuna sehemu wanaona information za mita yako,matumizi yako ya umeme,na hata kiwango cha umeme kinachoingia Kwenye mita nataka kujua hizi information wanaziona makao makuu au mkoa mita ilipoNi kawaida sana boss wala usiumize kichwa. Kwenye electronics hasa kwenye Mawasialiano kuna Nyenzo zinaitwa Receiver (Rx) nq kuna Transmeter (Tx)
Hizo ni njia, Moja inatuma taarifa (Tx) na nyingine inapoke (Rx)
Kwa upande wa meter za Luku mfano hizi EDMI hizi zinatumia Radio waves. Mawimbi ya radio Kuwasiliana kati ya meter na Remote contoller yake ambapo hufanya kazi hadi 100 metres obstacle free
Mfano hizi Remote za TV au redio Zinatumia Infrared na Kuna baadhi zinatumia Wife na nyingune bluetooth
So transmission pritocal zipo kibao
Itategemea na faida na hasara za njia husika, ila mtengenezaji atachagua inayomfaa
Tujifunze wote, hivi kwanini tusihamie pia kwa mfumo huo wa maji yani ziwe za luku, kuna baadhi ya mkoa nilitembelea kama Iringa iruwasa wanatumia luku kwenye majiKama kuna mtaalamu yeyote anaelewa jinsi system za mita za umeme zinavyofanya kazi anipe ujuzi.Mita hizo ni hizi za sasa hivi tunazozitumia majumbani kuingiza LUKU kama wenyewe mnavyoiita.Maana nilisikia zinakuwa controlled somewhere kwa kutumia Network.Pia nataka kujua asili ya hilo neno LUKU.
Je! mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?
Je, mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?
Wakuu Sote tunajua jinsi ya kununua umeme wa luku. Swali hili liliwahi kujadiliwa sehemu sina hakika ni wapi, lakini je zile vocha unazo nunua na kwenda kuingiza kwenye LUKU inakuwaje? Je, LUKU zinawasiliana na server za TANESCO kujua kiasi cha units ulizo nunua kama unavyoingiza vocha ya simu?www.jamiiforums.com
Pata madini kwenye hiyo thread
Enzi hizo watu walikua makini sana
Hao wanaenda kisasa,bila shaka hata mapato yameongezekaTujifunze wote, hivi kwanini tusihamie pia kwa mfumo huo wa maji yani ziwe za luku, kuna baadhi ya mkoa nilitembelea kama Iringa iruwasa wanatumia luku kwenye maji
Nilipoona mada nikaukumbuka huu uzi....Je! mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?
Je, mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?
Wakuu Sote tunajua jinsi ya kununua umeme wa luku. Swali hili liliwahi kujadiliwa sehemu sina hakika ni wapi, lakini je zile vocha unazo nunua na kwenda kuingiza kwenye LUKU inakuwaje? Je, LUKU zinawasiliana na server za TANESCO kujua kiasi cha units ulizo nunua kama unavyoingiza vocha ya simu?www.jamiiforums.com
Pata madini kwenye hiyo thread
Enzi hizo watu walikua makini sana
Mfano hiyo server inayovalidate token mteja anapoingiza inakuwa kwenye level ya taifa au mkoa ambapo mita fulani ipo?,mfano kuna sehemu wanaona information za mita yako,matumizi yako ya umeme,na hata kiwango cha umeme kinachoingia Kwenye mita nataka kujua hizi information wanaziona makao makuu au mkoa mita ilipo
Tujifunze wote, hivi kwanini tusihamie pia kwa mfumo huo wa maji yani ziwe za luku, kuna baadhi ya mkoa nilitembelea kama Iringa iruwasa wanatumia luku kwenye maji