Ndugu wana bodi, nahitaji kupata uelewa juu ya kitu kinaitwa coldroom kwa maana ya mfumo wa kupooza hadi kugandisha bidhaa. Je kununua / ku-fix kitu kama kicho gharama zikoje angalau kwa storage ya kg 300 hivi za samaki? Mwenye kujua juu ya ABC ya swala hili naomba msaada wa taarifa zaidi.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.