haiitwi hvy,inaitwa bachelor of science in municipal and industrial services engineering,..then mm nipo ardhi na hio coz ni mpya kidogo sio sana but ninaowajua mm waliograduate wote wana kazi.
Kwqnza mnakua wachache pili kazi zake zipo nyingi, kila manispaa mnatakiwa nyinyi, na viwandani, dawasco nk pia, kudesign drainage nk, ni course nzur sana sana, sema inatesa kidogo first year lazima workshop mfanyie udsm, but ukikomaa ipo njema.
Ukija ardhi utanitafuta nitakukabidhi wadau wangu wa hio course wakupe madesa na ushauri jinsi ya kusoma, karibu sana ardhi university.