Mwenye uelewa juu ya trekta, msaada

Mwenye uelewa juu ya trekta, msaada

umutuni

Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
37
Reaction score
4
Wakuu ,hasa kwa wale wanaochangia kwenye jukwaa hili la biashara, malipo yenu ni thawabu kutoka kwa Mungu, wetu. Baada ya kusema hayo, nami naomba msaada wenu juu ya matumizi ya trekta, vitu navyo taka kujua ni 1.trekta kubwa kabisa kwa siku inaweza kulima heka ngapi?. 2. Trekta hiyohiyo inatumia mafuta kiasi gani kwa heka moja? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale watakao huiwa kunisaidia juu ya hayo karibuni.........................
 
Back
Top Bottom