kimbilio la wengi
Member
- Dec 5, 2012
- 36
- 9
Naomba mwenye kujua garama za kufungua saite na niweze kuwa nafyatua tofari za saruji ni shilingi ngapi ,garama ya machine na vinginevyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanapatikana wapi wafyatuaji kwa bei Hiyo?mkuu kama hauko well financially then waweza anza na mashine ya bam bam na kuna watu wanaweza fyatua mifuko zaidi ya 12 per day which is equivalent to tofali 480 na gharama yao ni 4000 kwa mfuko mmoja na uzuri wa tofali ni kua iliokaa muda mrefu ndio imara zaidi so ni wewe tu.