Mwenye uelewa Juu ya ufyatuaji Wa tofari za saruji

Mwenye uelewa Juu ya ufyatuaji Wa tofari za saruji

Joined
Dec 5, 2012
Posts
36
Reaction score
9
Naomba mwenye kujua garama za kufungua saite na niweze kuwa nafyatua tofari za saruji ni shilingi ngapi ,garama ya machine na vinginevyo
 
Gharama zinategemea namna Ulivyo plan kuanza mradi wako.....kiujumla Unahitaji mambo yafuatayo...
1.Uwe na eneo
2.Mashine - vibrator 2.5m
Mixer 1.5m
3.Gharama za umeme in case hutatumia hizi mashine za umeme ukatumia bang bang hutahitaji umeme ila mashine za bang bang sio dili.....gharama ya umeme itategemea.

Mashine ya bang bang - laki 3

4.Gharama ya maji.....itategemea kama eneo lina maji au halina

5.Gharama ya mchanga itategemea huko ulipo
6.Gharama ya cement.....walau uwe na capacity ya mifuko 100 = 1,470,000/=
 
mkuu kama hauko well financially then waweza anza na mashine ya bam bam na kuna watu wanaweza fyatua mifuko zaidi ya 12 per day which is equivalent to tofali 480 na gharama yao ni 4000 kwa mfuko mmoja na uzuri wa tofali ni kua iliokaa muda mrefu ndio imara zaidi so ni wewe tu.
 
Tafuta eneo linalo anza kujengeka.. Pili usiwe na mkono mfupi kwa mafundi mana hao ndo wanao leta wateja.. Tatu jitahidi kuzipa ratio ya kutosha tofari zako.. Nne hakikisha una canter ya kusambazia tofari.. Kama huna hela ya kununua canter basi ingia mkataba na mwenye gari kila unapo pata mteja wa tofari una tumia gari yake nae una mpa kiasi cha hela.. Watu wengi hawataki usumbufu awe ana nunua tofari arf aanze kuhangaika na usafiri.. Bei za tofari ina tegemea na eneo ila sehemu nyingi zina anzia 800 na kuendelea
 
mkuu kama hauko well financially then waweza anza na mashine ya bam bam na kuna watu wanaweza fyatua mifuko zaidi ya 12 per day which is equivalent to tofali 480 na gharama yao ni 4000 kwa mfuko mmoja na uzuri wa tofali ni kua iliokaa muda mrefu ndio imara zaidi so ni wewe tu.
Hao wanapatikana wapi wafyatuaji kwa bei Hiyo?
 
Wanapatikana sehem mbalimbali ambapo kuna mashine za bam bam. Kama unaishi maeneo ya Wazo au Boko then nihabarishe ukiwa tayari ili nikuconnect na watu nnaowafahamu
 
Back
Top Bottom