Gharama zinategemea namna Ulivyo plan kuanza mradi wako.....kiujumla Unahitaji mambo yafuatayo...
1.Uwe na eneo
2.Mashine - vibrator 2.5m
Mixer 1.5m
3.Gharama za umeme in case hutatumia hizi mashine za umeme ukatumia bang bang hutahitaji umeme ila mashine za bang bang sio dili.....gharama ya umeme itategemea.
Mashine ya bang bang - laki 3
4.Gharama ya maji.....itategemea kama eneo lina maji au halina
5.Gharama ya mchanga itategemea huko ulipo
6.Gharama ya cement.....walau uwe na capacity ya mifuko 100 = 1,470,000/=