NdioAah bt ni inawezekana kudroo?
Mkuu nimepatw na matatizo dats y.. Naww Kuw mwelew basDo sisi watanzania tuna matatizo sana, unaweka hakiba week 3 unaihitaji, sio issue kila account inakua na mashart yake rejea mashart ya account husika, nafikir urudi kwenye kibubu tu,
Kwani mi nimesema hujapatwa na matatizo?, ndo mana nikasema sisi watanzania tunamatatizo sana.Mkuu nimepatw na matatizo dats y.. Naww Kuw mwelew bas
Ah duu, em kidogo, kwani kudroo kwake sio kwa njia y kawaida? Au ni kwaajili natumia tu temporary idNenda kwa manager wa benk husika mueleze tatizo lako, ataifungua akaunt yako na unaweza kutoa fedha, baada ya hapo ataifunga na utaendelea kuweka hakiba, ila hutopata ongezeko lolote ndani ya miez hii mitatu sababu umevunja mkataba, usiongee na customer care omba uonane na branch manager
Poa naona huelewekAh duu, em kidogo, kwani kudroo kwake sio kwa njia y kawaida? Au ni kwaajili natumia tu temporary id
kaka akaunt ya muda maalum huwa imefungwa huwezi toa pesa dirishani wala ATM, Sio swala la kumbembeleza manager ila yeye ndo ana mamlaka ya kufungua akaunt yako baada ya kumueleza tatizo lako, kaka mi naona tafuta kibubu tu.Bob wew ndio sikusomi umesema inawezekana sasa suala la kuanza kumbembeleza Manager wa bank linatokea wap wakat pesa ni yangu?
Ok, nlochotak kufaham ni ipi sababu y kumfat maneja badala y kutumia njia ya kawaida
Nmekuelewa kk ila acha kejelikaka akaunt ya muda maalum huwa imefungwa huwezi toa pesa dirishani wala ATM, Sio swala la kumbembeleza manager ila yeye ndo ana mamlaka ya kufungua akaunt yako baada ya kumueleza tatizo lako, kaka mi naona tafuta kibubu tu.
Hakuna haja ya kumuona manager ala customer care.Nenda moja kwa moja kapange foleni kuelekea kwa Bankteller utoe kiasi unachotaka ila ibaki si chini ya elfu 50 ambayo itaruhusu after 3 months tangu utoe hela kuendelea kupata faida.Bob wew ndio sikusomi umesema inawezekana sasa suala la kuanza kumbembeleza Manager wa bank linatokea wap wakat pesa ni yangu?
Ok, nlochotak kufaham ni ipi sababu y kumfat maneja badala y kutumia njia ya kawaida